Monday 2 March 2015

BOXING: PICTURE YA MANNY PACQUIAO ILIYO LETA MZOZO KUMBE IMETENGENEZWA


Manny Pacquiao ameleta mzozo kupitia picture yake ambayo alivaa flana ya mazoezi iliyoonyesha anamtafuna Floyd 'Money' Mayweather...Picture hiyo iliwekwa kwenye twitter account ya World Boxing Organisation na kuzua mzozo lakini inasemekana hiyo picture sio ya kweli na imetengenezwa na program ya Photoshop...Pande zote 2 zilikuwa zinataniana sana kuelekea kwenye pambano kubwa kuliko yote kwa muda mrefu tarehe 2 May...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment