Saturday 21 March 2015

CRICKET WORLD CUP 2015: MARTIN GUPTILL AWEKA REKODI


Martin Guptill wa New Zealand ameipeleka timu yake nusu fainali kwa kuweka rekodi ya kupata score kubwa ya 237 not out dhidi ya West Indies...Mechi kali iliyochezwa katika uwanja wa Wellington ambayo Guptil alikuwa na 163 innings ambazo zilikuwa 11 Sixes na 24 fours na kuvunja rekodi ya 215 not out ya Chris Gayle West Indies iliyowekwa kwenye mechi za awali...Bofya hapa upate habari zaidi.


No comments:

Post a Comment