Thursday 19 March 2015

EPL: JOSE MOURINHO ANAUWEZO KUMCHUKUA PAUL POGBA


Kutokana na pesa Jose Mourinho anazoweza kupata anauweza sasa wa kumchukua super star mfaransa Paul Pogba msimu ujao...Kuna pesa kama milioni 40 pounds za Fair Play ambazo hujulikana kama FFF au Financial Fair Play na hizo pesa zimewezeshwa kutokana na dili la Yokohama la milioni 200 pounds na Torres kutokuwa tena mzigo darajani pamoja na contract mpya ya Eden Hazard...


Sasa Mourinho natakuwa na pesa za ziada za kunyakua striker wa Juventus Paul Pogba ikifika msimu wa usajili...Pamoja na Podba pia Chelsea wanamtaka Lionel Messi lakini bado wanamvizia tu maana bado muda...Bofya hapa upate habari zadi.

No comments:

Post a Comment