Monday 9 March 2015

FA CUP: BLACKBURN WALAZIMISHA MECHI YA MARUDIANO


Blackburn Rovers FC wamelazimisha draw ya 0-0 ya robo fainali ya michuano mikubwa sana ya FA Cup...Blackburn watarudiana na Liverpool ili apatikane mshindi halali atakayeingia nusu fainali...Mchezo ulikuwa mkali sana lakini ulisimama kwa takriban dakika 8 kwa sababu Martin Skrtel aliumia kichwa baada ya kuanguka vibaya alivyo ruka juu na kugongana na Rudy Gestede...


Skrtel ilibidi atolewe nje apate matibabu zaidi...Steve Gerard alikuwa nje kutokana na jereha lake la muda la Hamstring lakini anategemea kucheza May 30...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment