Monday 16 March 2015

CAF CONFEDERATION CUP 2015: YANGA YAIRARUA PLATINUM


Yanga vijana wa Jangwani jana wameirarua vibaya sana Platinum ya Zimbabwe....Yanga ilishinda 5-1 katika mechi ambayo wadau hawakutegemea kama Yanga wangeweza kushinda kwa mabao mengi ...


Salum Telela na wenzake Amis Tambwe, Simon Msuva na mshambuliaji hatari Mrisho Khalfan Ngassa walikonga nyoyo za mashabiki wakionyesha soka la hali ya juu huku wakiwararua Platinum mabao yakutosha kabisa na ya ziada...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment