Monday 16 March 2015

F1: HAMILTON AANZA MSIMU KWA USHINDI


Bingwa wa dunia wa mashindano makubwa ya magari ya Formula One, Lewis Hamilton, ameanza msimu kwa ushindi huko Melbourne Australia...Hamilton aliongoza mwanzo mwisho akufuatiwa na mwenzake Nico Roseburg na walifanikiwa kuchukua nafasi ya 1 na ya 2...


Scuderia Ferrari nao walijitahidi na kuchukua nafasi ya 3 wakiwa na dereva mpya Sebastian Vettel...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment