Wednesday 11 March 2015

CHAMPIONS LEAGUE: RONALDO AWEKA REKODI


Cristiano Ronaldo ameweka rekodi Champions League ya kuwa mfungaji bora...Ronaldo alifanya hivyo kwenye game ya jana ambayo walichapwa na FC Schalke 4-3 lakini walifanikiwa kufuzu kwa mara ya 5 mfululizo robo fainali ya Champions League...Real Madrid hali yao sio shwari kipindi hichi kwani wamechapwa mara kadhaa na timu ndogo kwa hiyo Carlo Ancelotti ana kazi ya ziada...List ya wafungaji bora hiyo hapo chini...Bofya hapa upate habari zaidi.

Champions League record scorers

Cristiano Ronaldo
76 goals
115 games
Lionel Messi
75 goals
93 games
Raul
71 goals
142 games
Ruud van Nistelrooy
56 goals
73 games
Thierry Henry
50 goals
112 games

No comments:

Post a Comment