Friday 6 March 2015

FA YOUTH CUP: TOTTENHAM YAILAZA CHELSEA

Onomah...
Tottenham wamefanya vizuri kwenye mechi ya nusu fainali ya FA Cup ya Vijana baada ya kuilaza Chelsea 2-0...Joshua Onomah ndio aliyepachika bao la kwanza huko White Hart Lane na Kazaiah Sterling alimalizia kwa bao la ushindi...

Sterling...
Chelsea walicheza vizuri na kushkilia mpira lakini counter attack 2 zikawamaliza kabisa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment