Thursday 5 March 2015

GOLF: NAMBA 1 DUNIANI AKOSA CUT YA KUCHEZA HONDA CLASSIC


Rory Mclloroy namba 1 duniani kwenye amepata pigo kubwa ambalo hakutegemea kwa kukosa kiwango kinacho stahili kwenye michuano mikubwa ya Honda Classic...Rory amesema amesikitishwa lakini ni kama kapigwa nyuma ashtuke kwahiyo atajitahidi michuano mingine inayokuja kama WGC-Cadillac Championship...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment