Thursday 5 March 2015

EPL: QPR YAZAMISHWA NA ARSENAL


Arsenal jana usiku ilijipatia points 3 muhimu kupitia kwa Giroud na Sanchez...Arsenal ilishinda mechi yake dhidi ya QPR 1-2 na kuifanya QPR ibaki chini ikitafuta njinsi ya kujinasua isishuke daraja...Alexis Sanchez alipiga bao ambao ni bao lake la kwanza katika mechi 8 na Giroud alifunga dakika ya 64 kabla ya bao ya Sanchez dakika ya 69...Arsenal waliwazidi sana QPR kipindi na wakafanikiwa kushinda mechi hiyo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment