Sunday 15 March 2015

VODACOM PREMIER LEAGUE: OKWI AFANYA KWELI DAKIKA ZA MWISHO


Striker hatari wa Simba Sports Club, Emmanuel Okwi, ameipa timu yake points 3 muhimu baada ya kumtoka beki makini wa Mtibwa Sugar David Luhende na kuachia shuti kali iliyotingisha nyavu pande ya juu...Bao hili lilipatikana dakika za tia maji tia maji...Simba SC sasa wako point 1 chini ya Azam FC ambao wako nafasi ya 2...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment