Wednesday 4 March 2015

BOXING: FLOYD 'MONEY' MAYWEATHER AMEANZA TIZI RASMI


Floyd 'Money' Mayweather bingwa wa dunia wa welterweight ameanza tizi rasmi la kukabiliana na Manny 'Pac-Man' Pacquiao kwenye pambano ambalo itafanyika May 2...


Mayweather amtoa picture zake akiwa kwenye gym moja huko Las Vegas kupitia site yake ya shots.com na pia ametoa video kwenye Instgram yake...


Mayweather na Pac-Man walianza mazoezi siku 1 na watakutana mara 1 kabla ya pambano hilo kubwa sana katika ulimwengu wa boxing...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment