Wednesday 18 March 2015

TANZANIA NATIONAL YOUTH TEAM: KOCHA SYLVESTER MARSH APUMZISHWA KWA ANAMI


Aliyekuwa kocha wa timu ya vijana na wakubwa Sylvester Marsh amepumzishwa kwa anami huko Igoma Mwanza...Mamia wa wadau wa mpira na viongozi wengi kutoka Mwanza na mikoa ya jirani wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo walijitokeza kuuaga mwili wa mahemu Marsh katika viwanja vya Mirongo...


TFF kupitia kwa Mkurugenzi wa Kamati ya Ufundi Salum Madadi amesema familia ya soka nchini imehuzunika sana na TFF walikuwa wanataka kumchagua awe kocha wa timu ya U-17 na pengo hilo ni gumu kujaza...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment