Monday 2 March 2015

CAPITAL ONE CUP: CHELSEA MABINGWA


Jose Mourinho achukua kombe la kwanza toka arudi kufundisha tena Chelsea...Chelsea ilifanikiwa kuilaza Tottennham bao 2-0...Mabao yalitoka kwa John Terry na Diego Costa na yote yalitokana na deflection pamoja na hayo Tottenham hawakuweza kupambana na Chelsea kama walivyofanya huko nyuma walivyo wachapa Chelsea 5-3...Pamoja na Mourinho kuwa kocha mwenye mafanikio mengi kombe hili pia ni muhimu sana kwake...



Max Sports inwapa hongera Chelsea na wadau wake kwa kufanikiwa kuchukua League Cup...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment