Sunday 8 March 2015

LONDON FOOTBALL AWARDS: EDEN HAZARD ACHUKUA TUZO KUBWA LONDON


Eden Hazard amechukua tuzo ya mwana soka bora wa mwaka w London katika London Football Awards...Hazard aliwasadia timu yake ya Chelsea kuchukua kombe la Capital One na ssa Chelsea inaongoza kwa ponts 5 kwenye premiership...Harry Kane wa Tottenham ameshinda mchezaji bora kijana wa mwaka wa London...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment