Saturday 21 March 2015

BNP PARIBAS OPEN: RAONIC AMSHANGAZA RAFA


Milos Raonic ameshinda mechi yake ya robo fainali kwa kumchapa na kumshangaza bingwa Raphael Nadal...Raonic ameweza kuokoa match points 3 na kushinda mechi kali ya BNP Paribas Open ndani ya Indian Wells...Seti ya kwanza alishinda Rafa 4-6 lakini baada ya hapo Raonic aliweza kushinda seti zilizobaki 7-6 (12-10) 7-5...Raonic sasa atakutana na Roger Federer kwenye nusu fainali...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment