Sunday 22 March 2015

VODACOM PREMIER LEAGUE: YANGA YAFANYA KWELI MKWAKWANI


Yanga imefanikiwa kuirarua Mgambo JKT 2-0 na kuinyamazisha kwa kuwa inajitapa kwa uwezo wakuzuia timu kubwa...Mabao yote yamekuja kipindi cha 2 kupitia kwa Msuva na Amiss Tabwe...Yanga sasa wako kileleni mbele ya Azam FC kwa points 4...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment