Thursday 5 March 2015

NBA: LeBRON JAMES AMPITA RAY ALLEN


LeBron James wa Cleveland Cavaliers amempita Ray Allen na kuwa mchezaji wa 21 katika ufungaji bora katika historia ya NBA...James amefanikisha hilo kwenye game kati yao na Boston Celtics ambayo aliibuka na points 27...Jumla ya points za LeBron James ni 24,508 na Ray Allen ni 24,505 na akiendelea kwa miaka 2 au 3 ataweza kuwa kati ya wafungaji bora 10 wa NBA...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment