Sunday 4 October 2015

EPL: AGUERO AIRARUA NEWCASTLE


Sergio Aguero amefanya kweli katika uwanja wa nyumbani kwa kupachika mabao 5 ya kwake dhidi ya Newcastle...Manchester City walishinda hiyo mechi 6-1 na Aguero alitumia dakika takriban 20 kupachika mabao yake...Newcastle mpaka leo hawajashinda hata mechi moja walipata bao 1 kutoka kwa mchezaji wa mpya Mitrovic...Bofya hapa upate habari zaidi.

 

No comments:

Post a Comment