Tuesday 6 October 2015

RONALDO: MDAU WA MAX SPORTS AKUTANA NA de LIMA


Mdau kwa karibu wa Max Sports Blog Mr. Ed Kavishe hivi karibuni alikutana na mmoja wa mastricker hatari sana anayetokea Brazil Ronaldo Luiz Nazario de Lima au kwa kifupi Ronaldo...Mdau Kavishe ni mwanzilishi na CEO wa Fasion Wire Press na makazi yake yako Milan Italy pia ni mdau ambae anasafiri sana na anakutana na watu wengi sana mashuhuri...Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora aliyewahi kucheza mchezo huo na ni kati ya watu wanne ambao wamewahi kushinda tuzo ya Fifa ya mchezaji wa mwaka zaidi ya mara 3...Ronaldo aliwahi kupata tuzo ya Ballon d'Or mara 2 mwaka 1997 na 2002...Endelea kupata taarifa mbali mbali za wadau na sports hapa Max Sports Blog.

No comments:

Post a Comment