Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Saturday, 24 October 2015
F1: US GP HATIANI KUTOKANA NA KIMBUNGA PATRICIA
Mashindano ya F1 ambayo yanatarajiwa yafanyike Marekani weekend hii yako hatiani kutokana na kimbunga ambacho kinasemekana ni kikubwa kuliko vyote kupita Texas...Waamuzi bado hawajatoa tamko rasmi kutokana na kubadilika sana kwa hali ya hewa lakini qualifiying inaweza kusogezwa mbele labda Jumapili...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment