Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Wednesday, 28 October 2015
FIFA: WATU 7 KUCHUANA NAFASI YA JUU YA URAIS
Fifa wametoa majina 7 ambayo yatachuana February 26 kuwania nafasi ya urais wa Shirikisho la Soka Duniani...Majina hayo ni Jerome Champagne, Gianni Infantino, Michel Platini, Sheikh Salman bin Ebrahim al-Khalifa, Prince Ali bin al-Hussein, Musa Bility na Tokyo Sexwale...Sepp Blater amesema atajiuzuru lakini sasa kasimamishwa kutokana na uchunguzi...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment