AC MILAN: DOGO WA MIAKA 16 ACHEZA KWA MARA YA KWANZA
Kocha wa AC Milan, Sinisa Mihajlovic,aliamua kumchezesha dogo, Donnarumma, mwenye umri wa miaka 16 baada ya kuona hawapati ushindi katima mechi 3 za awali...Dogo huyo alicheza game kati ta AC Milan na Sassuolo...AC Milan sasa wamepanda nafasi ya 10...Bofya hapa upate habari zaidi.
No comments:
Post a Comment