Friday 2 October 2015

BOXING: KUMBUKUMBU YA MUHAMMAD ALI NA MZEE CHOKA NDANI YA DAR ES SALAAM

 
Ali akiwa ana spar na Esmail Choka (Marehemu)
(Source: Midladjy Maez)

Boxer mashuhuri sana duniani Muhammad Ali waliwahi kuja nchini kwetu mwaka 1980...Kilichomleta Ali ni kitu kimoja nacho ni kutaka  nchi mbali mbali ikiwemo Tanzania kutojihusisha na Olympics ya Moscow kutokana na Urusi kuihodhi Afganistan...Ali alivyokuja Dar alipolekewa vizuri na Esmail Manambi Choka (Marehemu) na watu wengi...Picha hapo juu ilichukuliwa Dar International Airport sasa ni JNIA inaonyesha jinsi gani mzee Choka alivyo kuwa mshabiki mkubwa sana wa Ali...Hapo chini kuna clip ya Ali alivyokutana na wadau Dar...

No comments:

Post a Comment