Sunday 4 October 2015

EPL: SOUTHAMPTON YAISAMBARATISHA VIBAYA CHELSEA



Madogo wa Southampton waliwapeleka shule Chelsea jana na kuwatandika 1-3 mbele ya boss yao darajani...Jose sasa naona kibarua kinataka kuota mabawa kwani sasa wako nafasi ya 16 wakiwa na points 8 tu na wamecheza mechi 8...Jose ametoka kupakwa na boss wa FA, Greg Dyke, hivi juzi tu kutokana na kutomwomba radhi Eva Carneiro na sasa amekula kichapo na Southampton sijui anatafakari nini sasa...


Inabidi Mourinho apunguze upendeleo na ajipange maana ligi ya mwaka huu ngumu...Chelsea ndio walioanza kupachika bao kupitia free-kick ya Williams lakini uzembe wa mabeki ulisababisha Southapton kusawazisha na kuongeza mabao...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment