Monday 5 October 2015

EPL: MANCHESTER UNITED YAZIDIWA MAAFIRA NA ARSENAL



Arsenal jana iliwapeleka shule Manchester United mpaka wakapewa homework...Manchester United waligaragazwa 3-0 ndani ya dakika 20 na ushee hivi kwa mabao ya uhakika na yenye akili...Alexis Sanchez na Mesut Ozil na walipachika mabao mawili ndani ya sekunde 74 na dadae Sanchez aliongeza kutoka 18 yards...Van Gaal pamoja na kutumia pesa kibao kununua wachezaji jana walionekana hawana uwezo wa hali ya juu na mashimo yameanza kuonekana kwenye timu yake...Arsenal sasa wako nafasi ya 2 chini ya Manchester City...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment