Andy Murray bingwa wa tennis Uingereza ameshinda mechi yake ya 500...Murry amekuwa mtu wa kwanza kutoka Uingereza kushinda mechi 500...Katika hizo mechi 500 alizoshinda Murray 70.8% ni kwenye hard court, 14.6% ni court ya majani, na 12.6% ni clay court....Bofya hapa upate takwimu sahihi za Andy Murray.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Wednesday, 1 April 2015
TENNIS: ANDY MURRAY APATA USHINDI YA 500
Andy Murray bingwa wa tennis Uingereza ameshinda mechi yake ya 500...Murry amekuwa mtu wa kwanza kutoka Uingereza kushinda mechi 500...Katika hizo mechi 500 alizoshinda Murray 70.8% ni kwenye hard court, 14.6% ni court ya majani, na 12.6% ni clay court....Bofya hapa upate takwimu sahihi za Andy Murray.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment