Sunday 5 April 2015

REAL MADRID: REAL KUMCHUKUA DANILO


Beki wa kulia hatari wa Porto ambae anatokea Brazil atachukuliwa na Real Madrid...Porto walitoa habari hizo kwenye soko la hisa la Portugal...Danilo Luiz da Silva ambae alichezea timu yake ya taifa kwenye World Cup na pia kufanya vizuri katika timu ya Porto na sasa Real wameona watamhitaji ndani ya Bernabeu...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment