Maria Sharapova ameshangaza dunia kwa kuchapwa straight sets na wild card Daria Gavrilova (pichani)...Sharapova ambae ni namba 2 duniani ametolewa mapema sana na mtu ambae kaingia kwenye michuano hiyo kwa bahati....Mrusi mwenzaki Daria alimchapa 7-6 (7-4) 6-3...Sehemu nyingine namba 4 duniani Caroline Wozniacki alishinda kirahisi mechi yake 6-0 6-1 dhidi ya mmarekani Madison Brengle...Bofya hapa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Thursday, 2 April 2015
MIAMI OPEN: SHARAPOVA NJE
Maria Sharapova ameshangaza dunia kwa kuchapwa straight sets na wild card Daria Gavrilova (pichani)...Sharapova ambae ni namba 2 duniani ametolewa mapema sana na mtu ambae kaingia kwenye michuano hiyo kwa bahati....Mrusi mwenzaki Daria alimchapa 7-6 (7-4) 6-3...Sehemu nyingine namba 4 duniani Caroline Wozniacki alishinda kirahisi mechi yake 6-0 6-1 dhidi ya mmarekani Madison Brengle...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment