Wednesday 29 April 2015

BOXING: MAYWEATHER AMTANIA PAC-MAN


Floyd Mayweather amemrushia dongo Manny Pacquiao kuwa Pac-Man anatakiwa kuwa anapata pesa nyingi kuliko anavyolipwa sasa...


Mayweather na Pac-Man wanatarajiwa kuzichapa May 3 pambano ambalo ninasubiriwa sana na wadau wa boxing duniani ma lenye gharama sana...Inasemekana pound milioni 150 zitatolewa na watagawana asilimia 60-40 Mayweather atapata nyingi zaidi kuliko Pac-Man...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment