Monday 20 April 2015

FA CUP: ASTON VILLA NDANI YA FAINALI ZA FA CUP NA ARSENAL


Tim Sherwood na timu yake imefanikiwa kuwatoa Liverpool na kumnyima Steve Gerrard nafasi ya kuchukua kombe la FA...Aston Villa ilitoka nyuma na kushinda mabao 2-1 na kupata nafasi ya kucheza na Arsenal kwenye fainali ya kombe la FA May 30...Baada ya Michael Oliver kumaliza mchezo Tim Sherwood alikimbia kwa furaha sana upande wa Villa...

Aston Villa hawajawahi kufika FA Cup finals toka 2000 na hawajawahi kushinda toka 1957 kwahiyo wana nafasi ya kubadilisha vitabu vya historia...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment