Sunday 12 April 2015

VODACOM PREMIER LEAGUE: MGOSI AWASHIKA SHATI AZAM FC


Mussa Hassan 'Mgosi' wa Mtibwa Sugar amewanyima Azam pointi 3 kupitia bao lake lililosababisha draw ya 1-1...Azam FC ndo walioanza ufunga mwanzoni kwenye dakika ya 16 ndani ya uwanja wa Manungu lakini uzembe wa mabeki ulisababisha Mtibwa usawazisha...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment