Monday 20 April 2015

YANGA: KOCHA ALALAMIKIA RATIBA YA MECHI CHANZO CHA DRAW

Kikosi cha Yanga (Picha:Shaffih Dauda)
Benchi la ufundi la Yanga ambalo kocha msaidizi Boniface"Master" Mkwasa ni mshauri amesema ratiba ya mechi za ligi ya nyumbani ni sababu mojawapo Yanga ilitoka draw ya Etoile du Saleh ya Tunisia...Mechi iliisha 1-1 na Yanga wanahitaji ushindi wa mabao 2 au draw ya 2-2 ili waweze kusonga mbele...

Bagdad akihangaika kumtoka Twite na Tambwe
(Picha: Othman Michuzi)
Mechi hiyo ya marudiano itafanyika baada ya wiki 2 na Yanga wana mechi nyingi hapo katikati kabla ya safari yao ya kwenda Tunisia...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment