Wednesday 15 April 2015

CHAMPIONSHIP: BOURNEMOUTH KARIBU WANAINGIA PREMIER LEAGUE


Bournemouth wanaongoza Championship kwa point 1 baada ya kuichapa Reading kwa shida na sasa wanakaribia premiership...Bournemouth wanapumuliwa na Norwich na Middlesbrough na pia wamebakiza mechi 3 tu...Watacheza na Sheffield Wednesday tarehe 18, Bolton tarehe 27 na Charlton tarehe 2 May...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment