Mabingwa wa basketball hivi karibuni JKT wataingia uwanjani kuchuana na mastaa wa basketball au kwa jina jingine All-Star katika viwanja vya basketball Gymkhana...Mechi hiyo itkuwa kali sana na itasaidia kuonyesha vipaji vya hali ya juu sana hapa bongo...Mratibu wa Bball Kitaa Lawrence Karabani amesema amefurhi bball kitaa sasa inafahamika chama cha mpira wa kikapu na anaimani ushirikiano utasaidia kukuza mchezo wa basketball nchini...Bofya hapa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Thursday, 2 April 2015
BASKETBALL: MABINGWA WA KIKAPU JKT KUCHUANA NA ALL-STAR TEAM
Mabingwa wa basketball hivi karibuni JKT wataingia uwanjani kuchuana na mastaa wa basketball au kwa jina jingine All-Star katika viwanja vya basketball Gymkhana...Mechi hiyo itkuwa kali sana na itasaidia kuonyesha vipaji vya hali ya juu sana hapa bongo...Mratibu wa Bball Kitaa Lawrence Karabani amesema amefurhi bball kitaa sasa inafahamika chama cha mpira wa kikapu na anaimani ushirikiano utasaidia kukuza mchezo wa basketball nchini...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment