Wednesday 29 April 2015

LA LIGA: BARCA YAIRARUA GETAFE 6-0


Barcelona wamefanya kufuru nyingine ilipoirarua Getafe 6-0 bila huruma...Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar Jr wamefikia jumla ya mabao ya msimu huu 102 na sasa Real Madrid wanakazi ya ziada kuifikia Barca...Barca wameshinda mechi 14 mfululizo na draw 1 na pia wako Champions League nusu fainali na fainali ya Copa del Rey...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment