Sunday 19 April 2015

F1: LEWIS HAMILTON ASHINDA BAHRAIN GP


Lewis Hamilton ameshinda Bahrain GP dakika chache zilizopita...Lewis alifuatiwa na dereva mkongwe Kimi Raikkonen ambae yuko na team Ferrari na wa 3 alikuwa Nico Rosberg wa Mercedes...Hamilton alianza kwenye nafasi ya pole alipita kona za mwanzo vizuri lakini mwishoni brake zake zilikuwa zina pata moto lakini aliweza kumaliza wa kwanza...Dereva wa Red Bull Ricciardo alimaliza wa 6 pamoja na engine yake kulipuka mwishoni...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment