Wednesday 15 April 2015

CHAMPIONS LEAGUE: ATLETICO WAISHIKA SHATI REAL


Atletico Madrid wametoka sare 0-0 na Real Madrid kwenye mechi yao kali ya robo fainali jana usiku...Atletico wanajivuna kutochapwa na Real Madrid game 7 sasa na hizi timu 2 zitarudiana tarehe 22 April ndani ya Bernabeu...Real wanafukuzia kombe lingine na itakuwa kama AC Milan mwaka 1989-1990...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment