Wednesday 1 April 2015

SIMBA SORTS CLUB: EAG GROUP KUIWEZESHA CLUB YA SIMBA


EAG Group imetia saini na timu ya Simba Sports Club kwa lengo la kuisaidia Simba iweze kupata mapato mbadala na mapato ya kawaida ya club...Pamoja na kukuza kipaji EAG Group itasaidia kuwaenzi wachezaji wa zamani na kunufaisha wadau wa Simba kupitia Bima...Rais wa Simba, Evans Aveva, amesema mikakati italeta ajira kutokana na vyanzo vipya vya mapato na pia Imani Kajila amesema anataka kuiona Simba inapata mabadiliko makubwa ya kiuchumi na yote haya yanawezekana kwasababu club ya Arsenal na EAG Group wanafanya kazi pamoja katika kuingiza na kukuza wabia wa wa biashara....Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment