Tuesday 7 April 2015

EPL: MANCHESTER CITY YAPELEKWA SHULE NA CRYSTAL PALACE


Manchester City wametupa nafasi yao ya kuwania kombe la premiership baada ya kuchapwa na Crysta Palace 2-1...City sasa wamepoteza mechi za nje 4 na wako nafasi ya 4 points 9 nyuma ya Chelsea...City waliaza msimu vizuri lakini siku za karibuni hawajafanya vizuri kabisa...Glen Murray alianza kufunga bao la kwanza akiwa karibu na lango na bao la 2 lilitoka kwenye free-kick pembeni ya box kutoka kwa Jason Puncheon...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment