Tuesday 21 April 2015

BOSTON MARATHON: WAAFRIKA WAFANYA KWELI BOSTON MARATHON


Boston Marathon ya mwaka huu kwa upande wa wanaume Lelisa Desisa kutoka Ethiopia na upande wa wanawake Caroline Rotich kutoka kenya wameibuka na ushindi jijini Boston...Desisa alikuwa mshindi mwaka jana masaa mawili tu kabla ya bomu kulipuka huko Boston...Desisa alitumia muda wa 2:09:17 na alivuka mstari wa ushindi dakika 30 mbele ya Yamane Adhane Tsegay....


Rotich alitumia muda wa 2:24:55 na alifukuzana mwishoni na Mare Dibaba mpaka akashinda...Waafrika walichukua nafasi nzuri kwenye top 10 za mashindan yote...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment