Friday 10 April 2015

NBA: SIM BHULLAR AWA MCHEZAJI WA KWANZA MWENYE ASILIA YA INDIA


Sim Bhullar ameweka historia kwenye NBA kuwa mchezaji wa kwanza kutoka India kucheza NBA...


Bhullar alikuwa anachezea ligi ndogo au D-League na akachukuliwa na Sacramento Kings.

Bhullar ambae anamiaka 22 n ni mrefu mwenye futi 7 inchi 5 alizaliwa Toronto na wazazi wake wanatoka maeneo ya Punjab...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment