Wednesday 15 April 2015

BORUSSIA DORTMUND: KOCHA JURGEN KLOPP KUONDOKA



Kocha maarufu wa club kubwa ya Borussia Dortmund, Jurgen Klopp, ameamua kuondoka kabla ya mkataba kuisha...Klopp ataondoka mwezi wa 7 tarehe 1 na mpaka sasa haijulikani ataenda wapi lakini kuna timu nyingi Uingereza wanahitaji kocha mweye uzoefu kama Klopp...Manchester City ni moja ya timu ambayo inatajwa sana kumchukua Klopp kutokana na kutofanya vizuri siku za karibuni...Arsenal wamejitoa kwenye mbio za kumchukua Klopp ambae ni kocha wa kwanza hao Dortmund kuchukua makombe mawili mfululizo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment