Wednesday 1 April 2015

SIMBA SPORTS CLUB: MCHEZAJI BORA KUZAWADIWA GARI


Wekundu wa Msimbazi, Simba Sports Club, wameamua kujiimarisha kwa mambo mengi na mojawapo ni kumzawadia mchezaji bora gari kila mwaka...Rais wa Simba Evans Aveva amesema wamenzisha hizo tuzo chini ya uongozi wake ili kujenga morali ndani ya wachezai wake...Pamoja na tuzo hiyo kutakuwa na tuzo zingine kama chipukizi bora, kiungo bora, mwenye nidham, na mshambuliaji bora...Tuzo hiyo itatolewa 'Simba Day' kila mwaka Agosti 8...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment