Monday 27 April 2015

BOXING: KLITSCHKO ATETEA MATAJI YAKE YA HEAVYWEIGHT


Wladmir Klitschko ametetea tena mataji yake ya uzito wa juu kwa mara ya 18 baada ya kumchapa mmarekani Bryant Jennings points nyingi kutoka kwa majaji wote ndani ya Madison Square Garden jijini New York...


Klitschko anayetokea Ukrain anashikilia mikanda minne ambayo ni IBF, WBA, IBO na WBO...


Bingwa Klitshko amekiri Jennings ni mpinzani mgumu kuchapa na anauwezo mkubwa lakini Klitschko alijaribu kuchukua points mapema na kumsoma mpinzani wake...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment