Sunday 5 April 2015

CAF CONFEDERATION CUP: YANGA YASONGA MBELE


Yanga imeingia round ya 2 ya michuano hiyo mikali ya Conferedation ya Caf kuwa kuwa watoa FC Platinum ya Zimbabwe...Platinum walishina hiyo game kwa bao 1 lakini waliihitaji mabao 4 iliwaweze kusonga mbele kwasababu Yanga hapo awali iliwachap 5-1...Yanga sasa wataakutana  na Etoile Sportive du Sahel ya Tunisia au Benfica de Luanda ya Angola...Bofya hapa upate habri zaidi.

No comments:

Post a Comment