Monday 13 April 2015

MASTERS 2015: JORDAN SPIETH AFIKIA REKODI YA TIGER WOODS


Jordan Spieth ameshinda Masters ya mwaka huu kwa kuwa mshindi mwenye umri mdogo kama Tiger Woods na kufikia rekodi ya Tiger Woods ya score ya -18...Spieth mwenye umri wa miaka 21 na miezi 8 na wiki 2 amecheza golf vizuri sana kwenye Masters ya mwaka huu na kufikia rekodi kadhaa ambazo ziliwekwa huko nyuma na hatimae kushinda akiwa na score ya -18...


Masters mwaka huu ilikuwa na wachezaji wazuri sana akiwemo Tiger Woods ambae alikuwa anamatatizo ya mgongo na Phil Mickelson pia alicheza vizuri sana...Tiger Woods na pair mwenzake Rory Mcllory walicheza vizuri sana lakini mwishoni hawakuweza kumkamata Spieth...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment