Serena Williams ameshinda Miami Open kirahisi kwa mara ya 8 huko Miami...Serena alimchapa namba 12 duniani Carla Suarez Navarro 6-2 6-0...Serena sasa ameshinda mechi 18 mfululizo na amechukua vikombe 66 nyuma ya mkongwe Billie Jean King...Bofya hapa upate hapari zaidi.

No comments:
Post a Comment