Thursday 12 March 2015

CHAMPIONS LEAGUE: CHELSEA YACHEMSHA KWA PSG 10


Thiago Silva ndiye aliyeizamisha Chelsea kwa sheria ya goli la ugenini baada ya kutoka sare 2-2 ndani ya Stanford Bridge...Chelsea ambao walikuwa wanategemewa kushinda walicheza ovyo na kufanya fujo wakilindwa na refa wakati Paris Saint-Germain walicheza kwa akili zaidi mwanzo mwisho na kufanya mpira uwe wa kasi na wakuchangamka...


Eden hazard aliwaweka mbele Chelsea baada ya kufunga bao la penalti kutokana na kile mwamuzi kuona Silva kanawa mpira lakini macho ya wengi yaliona refa kachemsha...


Silva alifanikiwa kupachika bao la kichwa ambalo ndilo liliwapa ushindi PSG wakiwa na wachezaji 10 uwanjani baada ya Ibrahimovic kutolewa mapema...Bofya hapa upate habari zaidi.

1 comment:

  1. Simple Disable Key Crack comes with a clean interface which gives the user a good overview of all the available functions.
    https://maccracked.com/simple-disable-key-crack/

    Embird crack is a professional software for computer embroidery. The program supports 70 different embroidery file formats as well as 20 embroidery machines as one of the top embroidery and fabric design programs.
    https://cracks4soft.com/embird-crack/

    KORG PA Manager Crack may operate using Windows 7, 7, along with Windows-10. It’s the collection of control and also managers which perform.
    https://hdlicensed.com/korg-pa-manager-crack/

    Filebot Crack is the best multimedia tool. It is a software frequently used on social platforms.
    https://windowscrack.net/filebot-crack/

    ReplyDelete