Monday 26 January 2015

TFF: RAIS JAMAL MALINZI ATEMBELEA KAITABA


Rais wa TFF Jamal Emil Malinzi ametembelea uwanja wa Kaitaba uliopo Bukoba kukagua maendeleo ya uboreshaji wa uwanja huo...Malinzi aliongozana na wadau tofauti wakati wa ukaguzi huo wakiwemo wajumbe wa chama cha mpira wa miguu Mkoa wa Kagera (KRFA) na pia Malinzi ni Mwenyekiti wa KRFA...


Maelezo kutoka kwa Meneja wa mradi Doron Mommsen ni kwamba mradi wa kuweka nyasi kwenye uwanja huo unaendelea vizuri na sasa uwanja wa unasawazishwa...Bofya hapa uate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment